Top News

Tuesday, August 6, 2013

Picha: Finalists wa Under-30 Youth Awards 2013 na namna ya kupiga kura.

Upigaji kura wa kuchagua washindi wa tuzo za vijana walio chini ya miaka 30 unaendelea. Unaweza kupiga kura kwa kutuma code za finalists kwenda namba 15584. Gharama ya SMS ni sh. 200/= tu.
ENTERTAIN-FULL PROFILE - WEB copy copy
ENT-FULL PROFILE - web
FASHION-FULL PROFILE_WEB
INNOVATION-FULL PROFILE - WEB copy copy

MEDIA22-FULL PROFILE - web copy copy
SOCIAL IM-FULL PROFILE - WEB copy copy
Upigaji kura utasitishwa siku ya utoaji wa tuzo tarehe 17/08/2013 saa 6 mchana. Pamoja na upigaji kura kwa SMS, Unaweza kupiga kura pia kupitia website www.youthawards.or.tz

Read more ...

Picha: Skyner Ally huyu ndio mwanadada tishio kwa Irene Uwoya na Jacky Wolper kwenye movie..!

Kama wewe si mtazamaji wa filamu za kibongo huenda sura ama jina la Skyner Ally ni geni kabisa. Au labda mara yako ya kwanza kumuona msichana huyu mrembo ni kwenye video ya Bob Junior ya wimbo wake Kimbiji.
Skyner
Skyner Ally Seif ni kipaji kilichogunduliwa na Ray na tayari ameshaigiza kwenye filamu kadhaa zikiwemo ‘The Second Wife’, ‘What is It’, ‘Why I Did Love’, ‘I Hate My Birthday’, ‘Kizungumkuti’, ‘Unpredictable’ na sasa yupo location akiigiza kama mke wa Ray kwenye filamu mpya, Chicken Head.

Skyner2

Skyner kwenye set ya Chicken Head
Skyner ambaye aliolewa mwaka 2011 na aliyezaliwa mwaka 1992, ametokea kupata umaarufu kwenye fani hiyo na kwa muonekano wake Jacky Wolper na Irene Uwoya wakae chonjo.
Read more ...

PICHA Behind the scenes: Kipindi cha TV cha Irene Uwoya Paradise.

Irene amekutana na mastaa tofauti nchini na kuzungumza nao mambo mengi yatakayo kuwemo kwenye show yake, Paradise ya Clouds TV.
ay

AY akiwa na mwanadada mrembo Irene Uwoya katika utengengezaji wa kipindi hicho
jb

JB akiwa location kwenye utengenezaji wa kipindi cha Irene

P8040057-1024x682

Mtitu
P8040058-1024x682

Kazi ya kushoot ikiendelea
nyerere

Steve Nyerere
ngaza

Irene akiwa na Mrisho Ngassa
Read more ...

Mfahamu mchungaji wa Brazil aliyekamatwa kwa kuwadanganya waumini kuwa uume wake una maziwa ya baraka

Valdeci Sobrino Picanto ni mchungaji wa Brazil ambaye mwaka huu alikamatwa kutokana na kuwadanganya waumini wake kuwa uume wake una maziwa ya baraka na hivyo kuwataka waunyonye kupata baraka hizo.

Mchungaji huyo aliwadanganya waumini wake kuwa roho mtakatifu alikuwa anaingia kwenye uume wake na kutoka kwa njia ya maziwa yenye upako.
Kwa mujibu wa mmoja wa waumini wa kanisa lake, mchungaji huyo alikuwa akiwahuburia kuwa Mungu angeingia kwa watu kupitia midomo yao.
“Alikuwa akitupeleka nyuma ya kanisa na kutuambia tumnyonye mpaka pale Roho Mtakatifu atakapotoka kwa njia ya ‘ejaculation’ (kufika kileleni).
Mchungaji huyo ambaye yupo jela alidai kuwa na mpango wa kuwapa maziwa hayo ya baraka wafungwa wenzie.
Read more ...

Hili ndio balaa la Diamond ashoot video Afrika Kusini na Ferrari yenye customised plates Wasafi Platnumz

Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.
bef82682fdd111e2a8b522000a9f3cba_7
Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.

0b54d01efdd411e2bd3c22000ae90db5_7

Mafundi wa Afrika Kusini wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa vizuri
0f7a71cefdef11e2999e22000a1f8afc_7
dd5ff8c8fdce11e2aa0322000a1fa408_7
Inaonekana hii, Diamond Platnumz aka Coca Boy amejiandaa kwenda international zaidi.
Picha: Babutale (Instagram)
Read more ...

MAAJABU: MWANAUME APOTEZA UUME WAKE KWA SIKU TATU JIJINI DAR....( VIDEO)

MWANAUME mmoja aliyejulikana kwa jina la Elias Peter (28) mkazi wa Mwananyamala Msisiri, Dar hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu baada ya uume wake kutoweka kwa siku tatu na kurudi ambao hauna nguvu.

Akizungumza na mwandishi wetu, Elias alisema siku ya tukio alipewa sigara na kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Saleh Mtima alipomaliza kuvuta alianza kuhisi baridi kali ghafla akajishtukia uume haupo amebaki ‘flat’.
 
Baada ya hapo alikaa siku tatu bila uume kurudi ndipo akaamua kwenda kumueleza na kumuomba ushauri mzee mmoja anayeheshimika sana eneo hilo anayejulikana kwa jina la Mfinanga Kishegwe  akamweleza kuwa  kilichompata ni mashetani ila uume utarudi.
 

“Baada ya kusubiri kwa siku tatu nilienda kuomba ushauri kwa mzee Mfinanga ambaye aliniambia utarudi na baada ya muda kweli ulirudi lakini ulikuwa mdogo kama wa mtoto na haukuwa na nguvu ,”alisema Elias.

TAZAMA  VIDEO  HAPO  CHINI
Read more ...
Designed By ApexbnewZ