Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha,
kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja
akaingia,
akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara
ya
msalaba akaanza kuungama.
== "Padri naungama dhambi...

Top News
Showing posts with label Vichekesho. Show all posts
Showing posts with label Vichekesho. Show all posts
Thursday, August 1, 2013
Wednesday, July 31, 2013
Kama siku yako ya leo haijakaa poa Cheki hapa Kuifanya siku yako iwe poa....!
Jamaa fulani alikuwa na
tabia ya kujamba kwa
nguvu kila aamkapo
asubuhi. Mkewe alikerwa
sana na tabia hiyo,
alimkataza akachoka, siku
moja akamwonya kuwa iko
siku badala ya ushuzi,
utumbo utakuja...
Sunday, July 28, 2013
Ha ha ha Dah Mbavu zangu! Kama jumapili yako haijakaa powa basi Unaweza Cheki hapa
Mtoto: Baba nitumie hela ya matumizi huku shule hali ni mbaya la sivyo nitajinyonga.
Baba: Huku nyumbani hli ni mbaya kuliko huko shuleni, kwa hiyo kama
unajinyonga sawa tu kwa sababu utapunguza...
Wednesday, July 24, 2013
Kama siku yako ya leo haija kaa Poa Cheki hapa.. Ha ha ha!

(Joni)
dogo wa darasa la kwanza kafika shule akaanza kulalamika kwa mwalimu
wake wa darasa kwamba la kwanza si saizi yake na anataka arushwe hadi
darasa la tatu kwa maana anaamini ana akili kumzidi...
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)