Top News

Sunday, March 31, 2013

Mh: ZITTO KABWE ATOA KAULI KWA WANAOTUMIA JINA LAKE KUTAPELI WATU KUPITIA MITANDAO "Asema: VYOMBO VYA DOLA VIWACHUKULIE HATUA"

Kupitia mitandao kumekuepo watu ambao wamekua wakitimia majina ya watu maarufu kufanya utapeli, Baadhi ya watu ambao majina yao yamekua yakitumika ni Wema Sepetu, Flavin Matata na sasa Mh: Zitto pamoja nataasisi zingine. Mh Zitto atoa rai kwa jamii kua watu hao ni matapale na ameomba vyombo vya dola viwachukulie watu hao hatua.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ