Leo jumatano gazeti la Mtanzania limepambwa na sura inayosema SIRI YA KUUAWA ZITTO YAFICHUKA" na kuwekwa vielelezo hivi.
*Yadaiwa ilipangwa anyweshwe sumu hotelini
*Dk. Slaa atajwa kumtuma Saanane kummaliza
*Mwenyewe akanusha, asema ni siasa chafu
Na hii ndio kauli ya Zitto kupitia Mtandao wa twitter




No comments :
Post a Comment