Top News

Wednesday, April 3, 2013

ChekaUpateAfya: KWA HILI JIFUNZEE UNAWEZA MSAIDIAJE MZAZI WAKO

Baba alimwandikia barua mwanae aliekua akisifika kuna na akili nyingi lakini mwishoni akafungwa jela kwa wizi.
Barua ya baba: "Mwanangu mwaka huu nitashndwa kulima viazi shamba kwa kukosa msaada wako.

Mtoto akamjibu baba yake: Tafadhal usithubutu kulima hilo shamba baba maana ndipo nilipoficha pesa zote nilizoiba!.

Polisi walivyoona ile barua kesho yake wakaenda kulitifua lile shamba lote wakizitafuta pesa, wakazikosa!.

Mtoto akamwandikia barua nyngne baba yake: "Huo ndio msaada wangu pekee nnaoweza kukusaidia, sasa unaweza kupanda viazi.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ