Dah!
hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato
ya biashara ya ringtones..!? Kweli sasa naanza kuamini kuwa Serikali
Inatukumbatiaga tu kwa Mda mfupi na kututumia Wasanii kwenye Kampeni zao
kwa Maslahi yao Binafsi, kisha wanatu Damp Baada ya kufanikiwa kwenye
Uchaguzi wao, bila kujali Thamani na Mchango wetu kwao.....
No comments :
Post a Comment