Top News

Monday, April 8, 2013

ELIZABETH MICHAEL (LULU) ALIA NAKUPOTEZA FAHAMU JUU YA KABURI LA KANUMBA


  Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na kutembelea kaburi la msanii huyo Kinondoni, Dar. Lulu, ambaye ana kesi ya kuhusika na kifo cha msanii huyo, yuko nje kwa dhamana. Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo




No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ