FURAHA YA TAWALA PART YA WELLCOME BACK KAJALA NDANI YA AMBASSADOR LOUNGE
Usiku wa kuamkia leo maeneo ya Ambassador Lounge, Kajala alifanyiwa
bonge la welcome back party. Party hiyo ilihusisha mastar na mashabiki
wake binafsi ambao wengi hawajawai kumuona tangu atoke Segerea.
No comments :
Post a Comment