Lakini matepeli hao wameendelea kufanya uhalifu huo kwa kuendelea kutumia jina la Mh Zitto kutapeli watu. huku wao wkijifafanua kua wanahusika na mikopo
kama wanavyo jieleza hapa
Asasi hii imeundwa na Mh. Zitto kabwe MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI ikiwa chini ya udhamini wa Bank za NMB, CRDB pamoja na Mobile Banking zinazotoa huduma za kifedha TIGOPESA na M-PESA.
Asasi hii ni mpya imeanzishwa rasmi mwaka 2013 kupitia udhamini wa
chama cha ADVOLTICY LOANS kilichopo marekani kinachojihusisha na utoaji
mikopo! Zitto Kabwe aliweza kupata miswada ya kifedha toka kwa wadhamini
wa kuu nchini marekani na alipatiwa kiasi cha Shilingi Million mia tano
kama msingi wa kumuwezesha kuanzisha Asasi hii ya kifedha ili
kuwasaidia watanzania.

![]() | ||||||
Hivi ndivyo wanavyo tapeli watu |
Matapeli hao waliendelea kujifafanua kama
Asasi hii itahusika na utoaji mikopo kwa kila mtanzania pekee alie mkoa
wowote ule ndani ya Tanzania na kwa kipindi hiki mikopo itakua ikitolewa
kwa njia ya mtandao (Online) ili kurahisisha upatikanaji wa mikopo hii
kwa kila mtanzania pia kulingana na udogo wa asasi hii kwani ndio kwanza
imeanzishwa hivyo matawi yake bado hayajaenezwa katika mikoa yote
Tanzania na mpaka hivi sasa inajumla ya wanachama 3472 waliojiunga na
wakapatiwa mikopo ya pesa. Angalizo kwa vijana nafasi za ajira
zitapatikana katika asasi hii pindi matawi yatakapo anza kuenezwa
watatakiwa vijana kama mawakala na wafanya kazi wa matawi hayo
yatakayowekwa na asasi hii na ajira zitatolewa kwa watakaojiunga na
Asasi hii.
Na hawa ndio baadhi ya walio Comment Post hiyo hapo juu iliyotumwa na matapeli hao wakidai kuna nafasi ya biashara karibu na Bunge
No comments :
Post a Comment