Top News

Monday, April 22, 2013

HIVI NDIVYO SHOW YA CCM MOROGORO ILIVYOKUA: LINA, DIAMON. TMK WATIKISA


Linah akitumbuiza kwa mbwembwe kama ndege Mnana....
Katibu Mkuu wa Ccm Abdrahman Kinana na wajumbe wake.....


Katibu Muhenezi wa Ccm Vijana Mhe.Nape Nauye
 akisikiliza muziki kwa hisia....


Tmk wanaume Family nao walikuwepo......wakiongozwa Chege Chigunda....


Qboy akiset Mipango kabla ya Rais wa wasafi kupanda kukiwasha stejini...
Dancers wa wasafi wakifurahi jambo kwa pamoja....!!

Si ndo zamu ya Wasafi ikafika kukinukisha Stejini.....

Bahada ya Diamond Kupanda steji ilikuwa haitoshi......



Mpera Mpera kama kawaida yake iwe usiku au mchana mwendo ule ule...






Yaniii......hadi raha ni step kwa step....kukonga nyoyo za mashabiki....
na wanachama wa ccm..



kwa kuringa ringa ndio wanadata....





wakina mama wa ccm wakicheza Nyimbo ya Diamond
kwa dzain ya mchezo wa kwaito.....aijalishi umri ni kulewa tu..






wananchi wa Morogoro na wanachama wa CCM ....Tumeelewana..........???
yeeeess ...."

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ