Top News

Friday, April 19, 2013

HIZI NDIZO VIDEO MBILI ZA BUNGE ZILIZOTIA FORA NA KULICHAFUA BUNGE

Hapa chin ni Video inayo muonyesha Naibu Spika akiamuru Tundu Lisu atolewe Nje ya Bunge


Hivi karibuni bunge limegeuka kua sehemu ya malumbano kisi cha kufanya watu kulidharu bunge na kuona wabunge wamepoteza hadhi ya ubunge na uwakilishi waliotumwa na wananchi

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ