Baada
ya habari nyingi kuhusu Irene Uwoya kufumaniwa na Diamond kutawala
vyombo vya habari mitandao hapo juzi, bongomovies iliamua kumtafuta
kwa simu Irene Uwoya ili kuweza kupata majibu ya tuhuma
za yeye kuingilia penzi lwa mwanadada Penny....
Bongomovie
inadai kuwa ,jana tangu asubuhi ilikuwa ikimtafuta Irene Uwoya
hewani bila mafanikio kwa kuwa simu yake ilikuwa ikiita bila
kupokelewa....
Saa kumi na mbili hivi jioni, bongomovie hatimaye ilifanikiwa kumpata Uwoya hewani na kumtwisha zigo hilo la lawama na maswali kibao kuhusu kufumaniwa na Diamond.....
Bongomovie inadai kuwa, Uwoya alishindwa kujibu tuhuma hizo na kutoa jibu moja na fupi la mkatona .."ACHANA NAZO, HAZIWAHUSU"
Kundi zima la bongo movie likaona isiwe tabu ....likaamua kumwacha binti huyo .Hata hivyo kwa mtu yeyote mwenye umakini wa kufikiri atakuwa amekwisha elewa Uwoya alimaanisha nini...!!
mastaa wa kibongo wengi hawajitambui ama hawana upeo wa kufikiri,,ni hayo tu
ReplyDeletenaamini sana irene uwoya hajatembea na diamond
ReplyDeletena kwanin muandike amejibu hayawahusu hatakama nime duu nae alafu jibu alilotoa mkaandika mengine?
ReplyDelete