Top News

Thursday, April 11, 2013

JUA TANZANIA NIYA NGAPI KATIKA MATUMIZI YA FACEBOOK DUNIANI NA JINSIA GANI INAONGOZA

Kwa mujubu wa mtandao unaohusika na utoaji takwimu za matumizi ya mitandao ya kijamii duniani socialbakers.Tanzania inawatumiaji Active Monthly Active Users (MAU) 693,080 kila mwezi
Idadi hyo inafanya Tanzania kua nchi ya 94 duniani kwa utumiaji wa mtandao huo wakijamii. Takwimu hizo zinaonyesha asilimia 71 ni wanaume na asilimia 29 ni wanawake.
Kundi kubwa la watumiaji facebook tanzania ni wale wenye umri kati ya miaka 18-24 ambayo idadi yao ni 295,020 wakifuatiwa na wale wenye umri kuanzia 24-34

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ