Muigizaji na Miss Tanzania wa zamani Wema Sepetu Amesema Licha ya kumsainisaha Kajala Masanja Kwenye kampuni yake. Hategemei kumfanyisha kazi ili kurudisa shilingi milioni 13 alizomtolea kwenye hukumu yake
Akiongea kwenye kipindi cha XXL wema amesema, Kajala atakua akifanya kazi zake lakini atakua anamlipa kama kawaida. Kwakuanza kajala ataigiza kama muhusika mkuu kwenye Filamu Iitwayo Princess Sasha
"Tunaenda kuishoot Inje ya Dar, Ninataka kuishoot hivi madhari fulani ya kama kijijini ni mtoto wa mfalme Kajala ndie atakua Princess Sasha
She is going to be the main character" alisema Wema
Kwa upande wake kajala alisema Aliamua kujichora Tattoo ya jina la wema kwasababu anamchukulia kama shujaa
" Mi naweza kusema nimechora kuonyesha nimeappriciat vip kile alichonifanyia, watuwengine wanaichukulia vibaya, wanaongea vibaya ila mimi najua moyoni mwangu sababu nimeona siwezi mlipa hiyo hela sasa hivi,, ntakumbuka siku zote hata chochote kikitokea atabaki kua mtu ...Yaani shi is my Hero
No comments :
Post a Comment