KAMA ULIKUA HUJUI HUYU NDIO BABA MZAZI WA WEMA SEPETU
Leo hii kupitia mtandao wa Instagram, Pttiman alitupia picha akiwa baba
yake mzazi, mzee Sepetu, huku pembeni akiwepo mtu wake wa karibu sana
"Pettiman. Nimeona ni vizuri kushare na wewe, kwasababu nilikuwa
sijawahi kabisa kumuona sehem yoyote
No comments :
Post a Comment