Top News

Thursday, April 11, 2013

KATUNI INAYO MUONYESHA MKALI WA "Lava Lava" SHAA AKIWA MTUPU

 Baada ya msani maarufu wa bongo flave hapa nchini Diamond kupeperusha kilio chake kwa makampuni ya simu yanayo wa nyonyo kwa kutumia milio ya nyiombo zao bila kuwapa stahiki yao! ameseama
 Dah! hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato ya biashara ya ringtones..!? Kweli sasa naanza kuamini kuwa Serikali Inatukumbatiaga tu kwa Mda mfupi na kututumia Wasanii kwenye Kampeni zao kwa Maslahi yao Binafsi, kisha wanatu Damp Baada ya kufanikiwa kwenye Uchaguzi wao, bila kujali Thamani na Mchango wetu kwao
April 8, Shaa alitweet, “Lava Lava Video imefikisha views 44,000+ leo ikifikisha 100,000 naenda kuogelea coco beach mchana kweupe lets do.

 Hata hivyo hits 100,000 hazikufika. Lakini mchoraji Maarufu, Dennis aka Kapwipwi ameamua kutuonesha jinsi muonekano wa Shaa ungekuwa iwapo hits hizo zingefika na kutimiza ahadi yake

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ