Top News

Friday, April 19, 2013

MAREKANI YAKUMBWA NA BALAA: ARIDHI YA TITIA MAGARI YAZAMA

.
Hili tukio limetokea jana Alhamisi huko Chicago katikati ya makazi ya watu ambapo ni dereva mmoja tu ndio alijeruhiwa, chanzo ni kupasuka kwa bomba la maji hivyo ardhi ikajaa sana maji.
.
.
Source: millardayo.com

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ