Akizungumza na waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya CHADEMA mkoa
mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki
Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya
mkononi.
Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni
pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa Arumeru
mMashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila
imeshindikana.
'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya
Mulongo' amedai kamanda Lema..miongoni mwa mawakili wa Lema atakuwepo
Kamanda Tundu Lissu
No comments :
Post a Comment