Top News

Tuesday, April 9, 2013

PICHA YA KAJALA NA AUNT EZEKIEL ILIYOLETA MASWALI NA KUFANANISHWA NA HIZI

Picha hii ni moja kati ya picha zilizopigwa kwenye Part ya welcome Back Kajala! iliyofanyika Ambassador Lounge Usiku wa april 6. Waliuzuria wasanii wenzake wakiongozwa na Wema Sepetu ambaye ndie alie Mlipia fain ya Milion 13 zilizo hitajika baada ya hukumu!
Party Ilifana na kila aliefika pale alipiga picha kama kumbu kumbu na picha nyingi kusambaa mitandaoni Ila katika picha zoto Picha hii ya Kajala na Aunt ilileta mjadala na hata watu wengine kusema picha hii imeashiria Usagaji kitu ambacho kwa Jamii hakileti picha nzuri.
na wadau wameendelea kusema hizi ni stail za kutafta umaarufu ila kama ni kutafta umaarufu watafute njia nyingine ambayo haita kua namanunguniko kwa jamii inayowatazama kama kioo !
Usataa unaendelea kuwatafuna wasanii kila kukicha.....Hayo yote ni matokeo ya kutaka kujulikana na kutafuta "majina"
 
 
Hizi ni picha za msanii wa Kenya Arvil ambazo zimefananisha na hiyo picha aliyopiga kajala na Aunt
Arvil   




No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ