Profesa Jay akinionyesha jina la Saloon yake iliyoko Msasani mbele karibu ni mitaa ilipokuwa Irish Pub
Saloon hiyo imefunguliwa kama wiki zilizopita
Profesa Jay akionyesha mating'a kwenye saloon yake hiyo
Kitu cha Flat Screen Kubwa
Kazi zikiendelea
Mataulo safii
Vifaa vya kisasa, na madawa yote yanayotumika Profesa kasema ni original kabsaa
Hao ni warembo wanaotoa huduma saloon hapo.
Saloon ya Prof Jiize iko pande za Msasani gharama ni nafuu sana ili kila mtu aweze kumudu, huduma zote zinapatikana na kila kitu ni Classic ndo maana inaitwa 'Prof Jiize Classic Barber Shop'.Pamoja nakwamba Pofesa ameajiri meneja wakusimamia hapo lakini pia yeye muda mwingi anakuwa hapo.

No comments :
Post a Comment