Top News

Saturday, April 27, 2013

SIRI YAKUUTAKA UHAI WA MH LEMA

Tafadhali nataka kuuwambia uma kuwa serikali nilazima wajuwe yupo Mungu anaye wafunulia watu wake sasa mpango unao pangwa na kitengo maalumu kupoteza uhai wa Mh Lema. Njia itakayo tumika nimoja ya njia zimewah tumika kumuua jasusi wa kirusi nchin UK. Hivyo basi kwa yeyote mwenye ukaribu na Mh Lema amwambie kuanzia sasa achukue tahadhari kubwa either kwa watu anawajuwa na asio wajuwa, chakula,maji,pipi, vocha, kalamu, wanawake awe mbali navyo, pia ulaji wa kwenye migahawa, au sherehe awe makini. Pia kuwa na glovs maalumu pind anaona hana uwakika na kitu kapewa. Pia kama itawezekana bungen asiwe na kiti maalumu cha kuka ikiwezekana awe anakaa sehemu tofaut tofaut ili kupoteza malengo,pia vipaza saut awe makin navyo ili kuwapoteza lengo maadui. Haya ni mambo yakipind kifupi ila Mungu yupo na watu wanao watumikia wa Tz hvyo basi ni sala yangu na yako itamponya kiongoz huyu alie jitoa kwa watanzania weng walio nyanyaswa. Pia wale waliopanga watakapo shindwa jarbio hili nao awanabud kufa kwa maana Mungu sio mwanadam hata kuchezewa kias hk. Amen. Huu ni Unabii ukitaka chukua ukitaka dharau tm wl tel us. Amen
Haya nimaoni kutoka jamiiForums
 15 He said to them, “Go into all the world and preach the gospel to all creation.16 Whoever believes and is baptized will be saved, but whoever does not believe will be condemned.17 And these signswill accompany those who believe: In my name they will drive out demons; they will speak in new tongues;18 they will pick up snakes with their hands; and when they drink deadly poison, it will not hurt them at all; they will place their hands on sick people, and they will get well.”

Suala la msingi hapa ni kuwa karibu sana na Muumba.

 I wish Mulugo wa Arusha na Abas wangejua siri yote ya kikao walichafanya kwa masaa nane iko hewani , nadhani wangeshakimbia nchi. Huu ndio ugaidi wa ccm , wanapanga kumbambikia Lema kesi ya mauaji, na jinsi ya kundhuru. Shame on you losers. Habari yenu kwishnei
''The most pathetic person in the world is someone who has sight, but has no vision''
Mungu tunaayemjua hawezi ruhusu mtu wake afe kabla hajamaliza kazi aliyopewa hapa duniani. Hakuna haja ya kuogopa kabisa. Mungu asipoilinda nyumba yako anayeilinda afanya kazi bure. Mungu yupo no need of worrying any more.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ