Top News

Friday, May 3, 2013

AGNES WA MASOGANGE ASAMBAZA PICHA ZA MITEGO


  Baada ya kuwa mbali na macho ya watanzania kwa muda sasa.....baada ya
Video yake ya utupu ilivyovuja mitandaoni....!!
ameonekana kwenye picha izi zenye utata kidogo....akiwa mwenye
afya tele na mwenye furaha
sana...... akizungumza na This is Diamond alisema ''
Kwa sasa nipo nchini kwa muda tu
lakini nina biashara zangu ambazo nafanyia nje ya nchi,
Biashara za kina dada kama
Viatu n etc za wanawake.....Alizidikufunguka
zaidi akimshukuru mungu
kwa kumfikisha alipo mpaka now na soon nakaribia
 kufungua saloon yake na boutique
maeneo ya Mikocheni,Ingawa sintapenda kutaja
 lini lakini watu wategeme nguvu
za Ujasiriamali kutoka kwangu....''

Source ThisIsDiamond

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ