Pia Mungu azilaze roho za waliopoteza maisha Mahali pema peponi
Jana Tarehe 5 may kanisa Katolika la Olasiti Arusha kulitokea mlipuko mkubwa wa bomu wakati wa misa ya uzinduzi wa Parokia.
Mpaka sasa watu zaidi ya 60 wameripotiwa kujeruhiwa na Wawili kupoteza Maisha.
Bomu hilo lilirushwa na mtu asie julikana ila mpaka sasa hivi jeshi la polisi
linawashikilia watu 3 wanoshukiwa kuhusika na tukio hilo.
No comments :
Post a Comment