Top News

Sunday, May 5, 2013

ARUSHA: MLIPUKO MKUBWA WA BOMU UMETOKEA KWENYE KANISA KATOLIKIA ARUSHA " WAPO WALIO POTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA"

 Kulikuwa na uzinduzi wa parokia ya olasit mlipuko mkubwa umetokea unadhaniwa ni mabomu watu wengi wamejeruiiwa na wengine wamekufa.
Nukuu kutoka Redio Maria

....watu wengi wamejeruhiwa miguu

......ni mlipuko

.....Olasiti Arusha

...kitu kilirushwa au kutokea chini kwenye moramu iliyo mwagwa....

....kuna watu wanahisiwa kuja eneo la tukio kwa gari na kurusha hiko kitu na kukimbia kutokomea na gari...maelezo ya mtoto mdogo anaye sadikiwa kuona watuhumiwa....

...watoto wengi na kina mama wamejeruhiwa....


 Kilikuwa ni kigango wakristo wakajichanga na kujenga kanisa kubwa na palikuwa na ugeni(balozi)kutoka Vatican alikuja kuzindua kama mgeni rasmi,majeruhi ni wengi ila vifo bado havijathibitishwa mpaka sasa hivi.Ni eneo la Olasiti kwa wakaazi wa Arusha au wanaoifahamu Arusha,radio Maria wanatoa taarifa kila mara.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ