Wabongo kwa kukosoa hawajambo.. Katika pitapita yangu instagram kuna
picha mkali Diamond Platnumz alipost (hiyo hapo juu), na hapo wakatokea
watu kukosoa kingereza alichotumia huku wengine wakionekana kutetea.
JAMANI ENGLISH si Lugha yetu jamani. angalia hapa chini watu walivyokua
wakicomment
You might also like:
Mbona nyie mnakosea lugha yenu ya kiswahili. Mnaposhindwa kutofautisha kati ya wimbo na nyimbo. Mtu anasema 'nyimbo yangu hii' hamumcheki - mnacheka mtu kukosea lugha ambayo si yake. Diamond usijisikie vibaya, hiyo lugha si yako wala haina ufahari zaidi ya ulimbukeni tu.
ReplyDelete