Top News

Monday, May 6, 2013

HIZI NDIO VIDEO 3 KUTOKA ARUSHA JINSI BOMU LILIVYO LIPUKA, HALI ILIVYOKUA BAADA YA MLIPUKO NA Mh LEMA AKIONGEA NA WAHANGA :

Hizi ndizo video tatu zinazo weza kukupa picha ya jisi tukio la kulipuka kwa bomu arusha lilivyokua. Tunawapa Pole wote waliokubwa natukio hilo pia Mungu awatie Nguvu wate walio jeruuhiwa. Na wote waliopoteza maisha Mungu azilaze Mahali pema peponi Roho za marehemu AMINA
Wakiti Balozi Wa papa akikabidhiwa Ibada ili kufanya ufunguzi wa Parokia ya Olasiti Glafla Mlipuko Ulitokea Takribani mita nne kutoka mahali Mwakilishi Huyo wa Papa alipokuepo.
Hali ilivyokua Baada ya mlipuka Mpaka sasa Zaid ya watu 70 wanaripotiwa kujeruhiwa na wawili Kupoteza Maisha
Mh Lema akiongea na wahanga katika tukio hilo pia aliwahamasisha kwnda kuchangia Damu kwaajili ya majeruhi.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ