Hiki ndio kikosi ambacho wema anakiamini
sana kwa sasa,katika kila kitu katika maisha yake hawa ndugu rafiki na
hata wafanyakazi wake anaamini ipo siku maisha yake na yawafanyakazi
wake yatakuwa sawa kimaendeleo. alilisema hilo kutokana na mshahara
mzuri na mikataba mizuri aliyowapa wafanyakazi wake ambayo haiwabani
hata kidogo.
Kwa kawaida uwaonyesha upendo wa hali ya juu wafanyakazi wake na mara
nyingi upenda kuitwa mama.kutokana na anavyowatrity wafanyakazi wake
kama watoto wake wakuwazaa.Hii ndio sababu ya wafanyakazi wake upenda
kumwita wema mama na si sababu ingine.pichani wema akimbusu tiny daddy
mzazi.
Wakati wote ni wakati wa furaha japokuwa kuna mda mwingine mama uamka
amekarika kidogo labda shemeji nyumbani amemstress kidogo na vitu kama
hivyo kwahyo ni mambo yakawaida kibinadamu ndiokwenye picha hajacheka
sana.inaonekana itakuwa amelazimishwa!
Hii hapa TEAM ENDLESS FAME kiukweli NAWAFAGILIA SANA na NAWAKUBALI MKO JUU na ni mfano wakuigwagwa.
Wakati mwingine ucheza na kufurahi na timu hasa anapoharikwa kwenye shghuli mbalimbali bila yakuweka mapozi wala kuleta ustar huyu ndio wema hapo akiwa na manager wake MARTIN KANDINDA.
Na huu ndio mkoko wake mie napokutana nao njianinikiwa na ki OPER changu au nikiukuta umepaki pale oficekwake nje napenda kuuhita HESHIMA KWA WANAWAKE.Q7
Na mwisho kabisa namleta kwenu kijana mtanashart anaesimamia kazi zote
za WEMA SEPETU the super duper DISINER MR SINGLE BUTON Ladis and
gentleman put ur hand up kwa MARTIN
KADINDAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimemaliza.
No comments :
Post a Comment