Top News

Wednesday, May 15, 2013

LADY JAYDEE ALIANZISHA ASHINDWA KULIMALIZA SASA ATAKA KUIHAMA NCHI


Ni masaa machache tu yaliyopita mwanamuziki LADY JAYDEE ameandika kutaka kuihama nchi yake  na kuelekea nchi jirani ya  KENYA ...

Lady Jaydee anafikiria kwenda kuomba uraia KENYA ama MALAWI kwa kile kinachoonekana kuwa ni kutaka  kujinasua  katika  migogoro  inayomkabili ambayo  tayari  iko mahakamani.... 

Mwanamuziki huyo ame-tweet kupitia mtanadao wa kijamii wa twitter na kuandika  

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ