Wananchi wanachota mafuta bila kujali usalama wao.

BAADHI YA WANANCHI ENEO LA KIA WAKIJAZA MAGALONI YAO MAFUTA BAADA YA LORI LA MAFUTA KUPATA AJALI KATIKA ENEO HILO

IDADI KUBWA YA WANANCHI WAKIGOMBEA KUCHOTA MAFUTA,HII NI HATARI NA BADO HATUJAJIFUNZA KUTOKANA NA MATUKIO YA AINA HII AMBAYO YALISHAGHARIMU MAISHA YA WATANZANIA WENGI SANA MKOANI MBEYA

FOLENI ENEO LA AJALI


WENGINE WALIKUWA MASHUHUDA TU

ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI AKIPIMA AJALI

MABASI YA ABIRIA YALIKWAMA KWA MUDA ENEO LA TUKIO
No comments :
Post a Comment