Top News

Tuesday, May 28, 2013

MOTO WAENDELEA KUMUWAKIA ADAM MCHOMVU (BABA JONII) ADAI IMETUMIKA DIGITALI KWENYE ACCOUNT YAKE: SOMA ALICHOANDIKA

Wakati mitandaoni ikiwa imesambaa stori kua Adam Mchomvu amesambaza picha za utupu za  Lady Jay Dee A.k.a Komando A.k.a Anacconda. Yeye amejaribu kutumia kila njia kuuambia umma kua sio yeye alie fanya vile ila kaunt yake imetumika na wajanja wamujini na kuamua kuharibia jina.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ