Kutokana na kesi iliyokuwa imefunguliwa na Aminiel Mahimbo vs Josephine
Mushumbusi kesi ya rufaa ya kupinga talaka iliyotolewa na mahakama ya
mwanzo Sinza katika kesi ya ndoa namba 4/2012 , baada ya kesi hiyo
kutupiliwa mbali na mahakama ya hakimu mkazi mahakama ya wilaya ya
kinondoni ndugu Wambura, katika kesi ya rufaa namba 32/2012.
Ametoa uamuzi huo baada ya kuridhika kwamba kulikuwa na ushahidi wa
kutosha kwa mahakama ya mwanzo kutoa talaka hiyo na hivyo Josephine ni
mtalikiwa rasmi.
Kutokana na hukumu hiyo, Josephine ana haki ya kuolewa na mtu mwingine kwa kuwa ni mtalakiwa.
No comments :
Post a Comment