Polisi wakipita eneo la Mashine tatu asubuhi hii
Abiria
na wapiga debe stendi kuu wakinawa maji baada ya kupigwa mabomu na
kumwagiwa maji ya kuwasha na askari wa FFU leo
Hali ikiendelea kuwa tete kwa machinga kufunga barabara kuu ya Iringa Dodoma na ile ya mashine tatu
Ni Machafuko Iringa hivi leo
No comments :
Post a Comment