Top News

Monday, May 6, 2013

SHOW YA DIAMOND PLATNAMZ ALIOENDA KUFANYA LONDON MASHABIKI WASEMA ALIKURUPUKA


 Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kwa wiki kadhaa sasa amekuwa nchini Uingereza akifanya maonyesho yake ya kimuziki, usiku wa jana jijini London alikuwa akifanya show na mmoja ya wahudhuriaji alikuwa mchezaji wa kikosi cha pili cha Chelsea Adam Nditi ambaye ni mzaliwa wa Tanzania Visiwani. Kwa mujibu wa tweets za Adam Nditi amesema hakupenda hata kidogo kitendo alichofanya Diamond katika show yake kwa kufanya show mbovu ambayo ilichelewa kuanza baada ya msanii kuingia ukumbini asubuhi badala muda halisi uliopangwa.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ