TANZANIA YAONGEZA MAJESHI YAKULINDA AMANI DRC CONGO
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi bendera kiongozi wa
batalioni ya wanajeshi wa JWTZ wanaokwenda kujiunga na Jeshi la Umoja
wa Mataifa la kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika
sherehe za kuwaaga zilizofanyika Msangani, Kibaha, Mkoa wa Pwani leo Mei
8, 2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Shamsi Vuai
Nahodha na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wanashuhudia. Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtakia kila la heri
kiongozi wa batalioni ya wanajeshi wa JWTZ wanaokwenda kujiunga na
Jeshi la Umoja wa Mataifa kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo, katika sherehe za kuwaaga zilizofanyika Msangani, Kibaha, Mkoa wa
Pwani leo Mei 8, 2013.Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.
Shamsi Vuai Nahodha na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange
wanashuhudia. (PICHA NA IKULU)
No comments :
Post a Comment