T.I.D MNYMA AIGIA CHOO CHA KIKE AMIMINIWA MATUSI HADHARANI BAADA YA KUMTOSA JIDEE
TID
a.k.a MNYAMA leo amejikuta akiambulia matusi ya nguoni baada ya
kuitosa show ya Lady Jaydee na kuandika chenga zake katika
Account yake ya Facebook.... Hizi ni comment za hao mashabiki wake walioamua kumharibia siku yake.....
No comments :
Post a Comment