Lukuvi anawasilisha taarifa ya tume iliyoundwa na waziri mkuu kuchunguza
sababu za kufeli vibaya kwa watajiniwa wa form 4. Na mapendekezo ya nn
kifanyike.
Anasema sababu zilizotolewa ni upungufu wa waalimu, mazingira magumu a
kufundishia, idadi kubwa ya shule za sekondari iliyopelekea idadi kubwa
ya watahiniwa.
Matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012 yafutwa na baraza linasahisha upya na kuwepo kwa standadization ili watoto wafaulu.....
by William Lukuvi kwa niaba ya Waziri Mkuu bungeni leo
Ripoti iliyosomwa hivi sasa bungeni imeyafuta
rasmi matokeo ya kidato cha nne. Serikali imeliagiza baraza la mitihani
kutumia vigezo vilivyotumika 2011 ili kusahihisha upya mitihani na kutoa
matokeo mapya.
No comments :
Post a Comment