Top News

Thursday, May 9, 2013

VIDEO JISI POLISI WALIVOKAMATWA NA FUVU LA KICHWA CHA BINADAMU

Jeshi la polisi mkoani Morogoro linawashikia askari polisi watatu wa wilayani Kilosa na raia mmoja kwa kupatikana na fuvu La kichwa cha binadamu anaedaiwa kuuwawa hivi karibuni.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ