Sunday, July 13, 2025

Top News

Saturday, June 29, 2013

BEYONCE ATUPIA VAZI LA KANGA KWENYE MOJA YA SHOW ZAKE

Christina (katikati)
Utajiskiaje kuona Beyonce akiwa amevaa vazi lililotengenezwa kwa kanga yenye maneno ya Kiswahili? ‘Wawili Ninyi Yawahusu….’ yanasomekana maandishi kwenye vazi alilolivaa mwanamuziki wa Marekani, Beyonce Knowles.clip_image001Vazi hili alilolivaa Beyonce kwenye moja ya show zake za tour ya Mrs Carter, limetengenezwa na mwanamitindo wa Tanzania aishie jijini London Uingereza, Christine Mhando mwenye brand ya Chichia London. Chichia London ndio brand iliyo maarufu sana nchini Uingereza kwa kutengeneza nguo za Kitanzania kwa kutumia Kanga na material mengine Kiafrika.
Hizi ni baadhi ya nguo alizotengeneza.clip_image001[8]clip_image001[10]clip_image001[12]

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ