Nassari aandikiwa rufaa aende muhimbili kwa matibabu zaidi,lakini pia
hali ya arusha sio shwari ikiwepo hospitali ya seliani ambapo wana
usalama wasiojitambulisha wamezagaa wakijaribu kuingia kwenye baadhi ya
wodi ikiwemo ya nassari hali iliyoletea mzozo kati yao na wauguzi na
security ya hospitali.pia vurugu za polisi zidi ya raia.madakitari
wameona dar ni bora zaidi.ofisi ya bunge inaratibu usafiri na matibabu
.niko hapa seliani ndo wanamalizia utaratibu wa kumsafirisha maombi yenu
ni muhimu katika kipindi hiki kigumu kwa wana arusha na watanzania wote.
No comments :
Post a Comment