Top News

Saturday, June 29, 2013

HATIMAYE KAJALA APATA BOYFRIEND MPYA

Baada ya mwana dada mrembo na mkali katika filam za kibongo Kajala Massanja kutoka rumande na kurudi mtaani, hivi sasa ameanza maisha mapya ya mtaani na hata kujikuta sasa akipata Tulizo la Moyo (Boyfriend) mahusiano yao yameanza kuonekana hivi karibuni na kushika kasi na kijana Huyo anaefahamika kama  Petiman ambaye nae nirafiki mkubwa sana wa Wema. 

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ