Top News

Wednesday, June 19, 2013

HIVI NDIVYO WAMERU WALIVYO ANDAMANA MPAKA HOSPTALI YA SELIANI WAKIMTAKA MBUNGE WAO NASSARI WAMLINDE WENYEWE KAMA SERIKALI IMESHINDWA KUMLINDA


  • WAZUNGUKA NA MAJANI MJI MZIMA NA KUZINGIRA HOSPITALI YA SELIAN.

  • WASHANGA KWANINI WALIO HUSIKA AWAJA KAMATAWA?

  • WAIZINGILA HOSPITALI NA KUONYA KITAKACHO MPATA MBUNGE WAO WENYEWE WATAJIBU.

  • HOFU YATANDA WANAUSALAMA WASHAULI NASSARI AHAMISHIWE.

  • KUNAUVUMI KUWA MABOMBA YA KUPELEKA MAJI MONDOLI YAKATWA.

??????????????????????
Hawa ni baadhi ya wameru walio handamana kutoka Meru wakielekea Hospitali yaSeliani Jana
??????????????????????
Joshua Nassari akiongea na waziri mkuu alipokuja mtembelea Hospitali jana.
??????????????????????
wananchi wakiwa kwenye uzio wa hospitali ya Seliani wakiimba na kumdai mbunge wao ili waondoke nae.
??????????????????????
??????????????????????

2 comments :

  1. na badooo ole wao ccm huyu kijana apate matatizooooo

    ReplyDelete
  2. THERE IS NO DEMOCRACY IN TZ ANYMORE

    ReplyDelete

Designed By ApexbnewZ