Huyu naye alikuwepo ili kuonyesha uhalisia wa jina la Anaconda ambalo
sasa anatumia msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini Jay Dee,
ambapo jina hilo limetokana na vuguvugu ambalo linaendelea hivi sasa
ambalo hilo vuguvugu ndilo limechangia shoo ya mwanamuziki huyo kujaa
huku mashabiki wakionyesha hali ya kumshinda mtu anyemkandamiza msanii
huyo
No comments :
Post a Comment