MBUNGE WA CCM NKASSI MWENYE TABIA YA KUSEMA OVYO ATOA MPYA TENA BUNGENI LIVE SASA HIVI!!
BUNGENI MUDA HUU............ Mbunge wa Nkassi Kaskazini
Ali Mohamed Keissy ANAKINUKISHA BUNGENI MUDA HUU......... ANATAKA WALE
WOTE WALIODHULUMU SHIRIKA LA NDEGE WAFUFULIWE HATA KAMA WAMEKUFA ILI
MIFUPA YAO ISAGWE SAGWE IWE HUKUMU YAKO;;; (rekodi aliyonayo mbunge huyu
aliwahi kusema kuwa endapo serikali
haitapeleka maji jimboni kwake atawabeba kwenye gari wanawake ambao
hawajaoga kwa muda wa siku tatu na kuwapeleka bungeni ili wakakinukishe
kikwapa mjengoni)PIA NI WIKI ILIYOPITA TU ALIULIZA KAMA ILE GESI YA
MTWARA NI YA KUJAMBA AMA LAA...........
No comments :
Post a Comment