Top News

Sunday, June 30, 2013

PICHA ZA SHOW YA DIAMOND ALIYOFANYIKA HUKO TABORA

 

Msanii maarufu nchini Diamond hapa akiwa katika Show yake iliyofanyika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora.
Mapenzi sasa basi yana-run sana

Diamond wakati akiamua kucheza na kuonesha namna anavyoweza kujiachia katika Jukwaa la ukumbi wa Frankman Hotel.

Hii ilikuwa lazima kwa wapenzi wa muziki wa BongoFleva kuchukua picha za msanii nguli Diamond kwa kutumia camera za simu.
Kazi na dawa
 piga keleleee...!
Wadau mbalimbali  katika show
wadau hao waliotokelezea kisafi zaidi
Haikuwa vibaya kwa wadau hawa kushindwa kuzuia hisia zao kama ilivyoonekana kwa Mwanadada huyu ambaye alilazimika kujiachia pasipo kutarajia ndani ya Show hiyo ya heshima.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ