Top News

Thursday, June 13, 2013

R.I.P :HUU NDIO UKWELI KUHUSIANA NA KIFO CHA MSANII WA HIP HOP TZ LANGA

Langa Kileo (msanii wa Hip Hop
Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii.
Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa
alikumbwa na Malaria kali

Hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana.

Uchunguzi wa chanzo cha
kifo chake bado unaendelea.
Msanii Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na
witness na sara ni miongoni mwa wasanii
wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.


No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ