Dah WATANZANIA NOMA CHEKI HILI GARI LILILOTENGENEZWA KWA MBAO LAWA GUMZO
Gari hili limefanjiwa haya Maujanja na Keneth Mwangoka Ambae ni mkazi wa Iringa. Mpaka hapo unavyoliona hivyo limegharimi kiasi cha shilingi Milion 8 za Kitanzania na lina tumia Injin ya Toyota.
No comments :
Post a Comment