Top News

Thursday, July 18, 2013

HICHI NDIO KIZAA ZAA ALICHOKUTANA NACHO WEMA .... INSTAGRAM



Ama kweli ustaa kazi! Mrembo Wema Sepetu kakumbwa na kasheshe kutoka kwa mashabiki wake baada ya kutupia picha instagram akiwa kapozi na wengine kuanza kumlamu kutokana na mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Japo alijitetea na kusema picha hizi alipiga kabla ya mwezi huu wengine hata hawakumuelewa!







Kweli umaarufu kazi na unahitaji uvumilivu wa hali ya juu.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ