Top News

Tuesday, July 2, 2013

HII NDIO JEURI YA FEDHA ANAYOIYONYESHA JUSTINE BIEBER KWA SASA

Kwa mara nyingine tene Mwanamuziki Justin Bieber amekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari, This tym round, ikiwa ni kutokana na kitendo chake cha kuamua kutoa kiasi cha paundi 125,000, ambazo ni zaidi ya shilingi 309,000,000 kwaajili ya kubadilisha rangi ya gari yake.





Bieber ameamua kuliweka gari hili rangi sawasawa na na muonekano wa chui, na habari za uhakika kutoka ndani ya team ya msanii huyu zinasema kuwa, Staa huyu aliamua kufanya mchongo huu ili kuwezesha gari yake ku-match na mtoko wake wa 'kichui-chui' aliokuwa amejipanga kushine nao
kwa siku moja.
Hivi ndio gari ya staa huyu inavyoonekana baada ya kufanyiwa mabadiliko.




No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ