Top News

Sunday, July 7, 2013

HILI NDILO BALAA LA KILL MUSIC TOUR NDANI YA MOSHI ZAIDI YA WATU ELFU 30 WALIHUDHURIA

 Daah haijawahi tokea ndani ya mji wa moshi Jana Ilikua ni bonge la shangwe, maelfu ya Raiya kutoka viunga vyote vya moshi walijitokeza kwa wingi sana kulko ilivyo tarajiwa zaid ya watu elfu 30 walifuka na hata wengine kukosa nafasi nakuamua kuondoka. Show ilikua na mzuka kupita kiasi, kiasi kwamba kila msanii alie panda hakutamani kutoka kutokana na shagwe za mashabiki. haikujalisha huyu anaimba Taarabu ,hip Hop wala bongo flaver wote walipewa shangwe yakutosha. Jambo la watu wa moshi kujitokeza kiasi hiki kiliwatia sana Wasanii moyo na Kila Msanii alie Panda Jukaani Hakuacha kuwapa Mashabiki wa moshi Pongezi zao na Kueleza ule ukweli kua Haija wahi tokea MOSHI IMETISHA KILL MUSIC TOUR
Hapa ni Msanii Joh Makini Akifanya Yake


Roma nae ulifika wakati wake akafanya yake!

Kala Jeremiah Nae akiwapa mashabiki wake Burudani yakutosha



Hapa Ni Joto hasira ikiwa imepamba Moto Prof Jay na JiDe wakifanya yao

Prof jay na Dj Choka nao wakifanya yao

Prof Jay akiongea na Mashabiki

Diamond Platnum naye akiwachanganya mashabi

Dj Choka Akimpa suppot Prof Jay

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ