Kwa mujibu wa chanzo cha
uhakika, hizi ni propaganda za M23 kwakuwa hakuna askari hata mmoja wa
Tanzania aliyepotea na kawaida hakuna askari anayekwenda viwanja na
pasport kama inavyodhaniwa na wengi.
Aidha, kuna details nyingine nyingi (ambazo hatuwezi kuziweka mtandaoni kwa heshima ya nchi) zinazoonyesha wazi kwamba huu ni uongo mtupu.
Aidha, kuna details nyingine nyingi (ambazo hatuwezi kuziweka mtandaoni kwa heshima ya nchi) zinazoonyesha wazi kwamba huu ni uongo mtupu.
No comments :
Post a Comment